Lil Wayne hana ‘Respek’ kwa Birdman,ni baada ya kujiachia na mahasimu wake.

Lil Wayne amuonyesha Birdman ZERO ‘Respek’ baada ya kujiachia na mahasimu wake kwen...

Lil Wayne amuonyesha Birdman ZERO ‘Respek’ baada ya kujiachia na mahasimu wake kwenye ziara ya Beyonce mjini Miami.
Rapa Lil Wayne amejiachia na wasanii ambao ni mahasimu wa Birdman ‘Rick Ross na Trick Daddy’. Picha ya Lil Wayne inamuonyesha akiwa na wasanii hawa na kuweki ishara ya kidole cha F**K You ambayo imetafsiriwa kumlenga Birdman ambaye kwa sasa hawana maelewano mazuri na Lil Wayne.
Hivi karibuni Birdman aliondoka kwenye interview ya Breakfast Club baada ya mtangazaji wa kipindi hicho ‘Charlamagne Tha God’ kumkumbusha kuwa wasanii Ricky Rozay na Trick Daddy bado wanamdiss na hajafanya lolote kuwajibu.

Related

BURUDANI 7650948011289381877

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item