Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yagonga mwamba

Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yamegonga mwamba, imebainika. Wiki hii video ya Wayne akiidiss Cash Money imesambaa mtand...

Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yamegonga mwamba, imebainika. Wiki hii video ya Wayne akiidiss Cash Money imesambaa mtandaoni.
baby-weezy
Mazungumzo hayo yalikuwa ni kumaliza madai yaliyotolewa na Wayne ya kutaka Cash Money imlipe dola milioni 51 na yalifanyika mwezi uliopita. Baada tu ya mazungumzo hayo kumalizika, Weezy alipiga picha na Rick Ross na Trick Daddy ambao wamewahi kumdiss Baby siku zilizopita.
Walipiga picha hiyo walipohudhuria show ya ‘Formation World Tour’ ya Beyonce mjini Miami. Wayne na Birdman waliaminika kuungana tena January mwaka huu. Birdman aliahidi pia kuwa wangerudisha ukaribu wao.
Wayne anataka kujiondoa Cash Money na anataka imlipe fedha anayowadai.

Related

BURUDANI 4688003768640625717

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item