Mzee akabiliana na mamba kwa saa 3 Australia
Mzee mmoja wa miaka 72 amewaambia waokoaji vile alivyokabiliana na mamba alipomuona mwenzake akizamishwa na myama huyo ndani ya maji ka...
https://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/mzee-akabiliana-na-mamba-kwa-saa-3.html
Mzee mmoja wa miaka 72 amewaambia
waokoaji vile alivyokabiliana na mamba alipomuona mwenzake akizamishwa
na myama huyo ndani ya maji kaskazini mwa Australia.
Mtu mmoja alizama baada ya kung'atwa na mamba huyo alipokuwa akijaribu kupanda boti hiyo.
Mvuvi mwengine alifanikiwa kumpiga mamba huyo spana katika kichwa katika kisa hicho cha saa tatu.
Msemaji wa ambyulansi ya angani Ian Badham alisema kuwa mamba hao waliendelea kumvamia mzee huyo wakati wa tukio hilo baya.



