Picha,Ex wa Tyga Kylie Jenner kapata mpenzi mpya,ni msanii wa Drake.
Kylie Jenner ambaye ni Ex rapa Tyga ameanza kuhusishwa kimapenzi na baadhi ya ra...
https://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/pichaex-wa-tyga-kylie-jenner-kapata.html
Kylie
Jenner ambaye ni Ex rapa Tyga ameanza kuhusishwa kimapenzi na baadhi ya
rapa wakali baada ya kuachana na mpenzi wake wa mwaka mmoja.
Kylie
awali alihusishwa kutoka na Ty Dola Sign ila kwa sasa ametajwa kutoka
na rapa ambaye pia ni ‘bad boy’ anayefahamika kama Jahron Brathwaite,
aka PartyNextDoor.
Inasemekama Kylie anapenda wanaume kama anaowapenda dada yake Kim Kardashian, ambaye ameolewa na Kanye West.
Kijana
huyu PartyNextDoor anatoka Canada, ana miaka 22, amemzidi Kylie miaka
minne tu na ni msanii wa Drake kupitia lebel yake ya OVO.


