Picha,Floyd Mayweather anatumia milioni 6 za kibongo kwenye issue hii moja kwa wiki.
Bondia mtaafu Floyd Mayweather analipia milioni 2 za kibongo kila mara anaponyolewa nywele na kinyozi wake. Kinyozi wake ambaye ni mwan...
https://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/pichafloyd-mayweather-anatumia-milioni.html
Bondia mtaafu Floyd Mayweather analipia milioni 2 za kibongo kila mara anaponyolewa nywele na kinyozi wake. Kinyozi wake ambaye ni mwanamke anasema analipwa dola $1,000 per cut.”
Mayweather ananyolewa mara tatu kwa wiki.


