Rais Magufuli ampa shavu hili Mizengo Pinda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzan...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).

Rais Magufuli amefanya uteuzi huo wa Mizengo Pinda kuchukua nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa chuo hiko, Dkt. Asha-Rose Migiro kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Taarifa iliyotolewa leo Mei 25, 2016 na katibu mkuu kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi huo wa Mheshimiwa Pinda umeanza mara moja

Related

MATUKIO 7381441629952851142

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item