Rooney sasa kuwa kiungo timu ya taifa

Wayne Rooney sio tena mshambuliaji namba moja katika timu ya taifa ya Uingereza,amesema nahodha wa zamani wa timu hiyo Alan Shearer. R...

Wayne Rooney sio tena mshambuliaji namba moja katika timu ya taifa ya Uingereza,amesema nahodha wa zamani wa timu hiyo Alan Shearer.
Rooney ambaye anaongoza rekodi ya ufungaji wa muda wote ametajwa katika kikosi cha wachezaji 26 kwa ajili ya michuano ya Euro 2016.

Shearer amesema Rooney mwenye miaka 30 anafaa zaidi katika nafasi ya kiungo nyuma ya Harry Kane na Jamie Vardy. ''Lazima pawepo nafasi kwa ajili ya nahodha wa timu na vizuri

imekuwepo''alisema.Lakini siku za Wayne kuw mshambuliaji wa kwanza zimeisha. ''Nafikiri Harry Kane na Jamie Vardy wanapaswa kuanza mbele lakini bado Rooney ana nafasi kubwa ya kucheza ama namba kumi ama kiungo wa kati. Rooney ni miongoni mwa washambuliaji watano walioitwa katika kikosi cha Roy Hodson siku ya jumatatu kwa ajili ya michuano ya Euro 2016.Wengine ni Harry Kane,Jamie Vardy, Daniel Sturridge na Marcus Rashford.

Related

MICHEZO 7869738977972199254

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item