Stori,Jinsi uvumi wa usaliti wa Jay Z utakavyo watajirisha familia ya The Carters
Beyonce na Jay Z wameripotiwa kutengeneza zaidi ya Pound za Uingereza milioni 150 k...
https://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/storijinsi-uvumi-wa-usaliti-wa-jay-z.html
Ripoti
inasema Jay Z na Beyonce walipanga na kukubaliana kukikisha mauzo ya
album ya Beyonce ‘Lemonade’ kwa kutumia uvumi wa JayZ kumsaliti mke wake
na mwanamke aliyepewa husika wa Becky kwenye wimbo wa ‘Sorry’.
Jay
Z anapitia na kuhakikisha kila wimbo wa Beyonce kabla haujatoka, yeye
ndio anamamlaka ya kuruhusu wimbo utoke ndio maana inaaminika lilikuwa
wazo lake kwa Beyonce kuweka mashairi haya.
Thamani ya Jay Z na Beyonce ni zaidi ya dola milioni £700.
Beyonce
anadili na kinywaji cha Pepsi lenye thamani ya pound milioni
£30million, pia anafanya kazi na kampuni kubwa kama Ivy Park fitness
range, Tommy Hilfiger ,Nintendo, American Express, L’Oreal na Tidal.


