Stori,Lil’ Kim ametajwa kama ushahidi kuwa rangi nyeusi sio uzuri ‘Black Is Not beautiful”.

Rapa Lil’ Kim ametajwa kuwa miongoni mwa watu wanaotumika kama ushahidi kuwa rangi ...

Rapa Lil’ Kim ametajwa kuwa miongoni mwa watu wanaotumika kama ushahidi kuwa rangi nyeusi sio uzuri ‘Black Is Not beautiful”.
Kauli hio imetolewa na wachambuzi wa mambo ya watu weusi na harakati za binadamu na kusema hatua alizochukua rapa mkubwa duniani Lil Kim kubadilisha muonekano na kublichi ngozi yake ilikuwa mweupe zimethibitisha ‘Black Is Not beautiful’.
Lil Kim aliwahi kutubu kuwa sababu ya kujibadilisha hivyo ni kutokana na kauli alizopata kutoka kwa wanaume wake toka mwaka 2000 kuwa hakuwa na uzuri wa kutosha hata kama alikuwa na shepu nzuri.

Related

BURUDA 7550908830832544870

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item