Tiwa Savage asema mume wake ni muuza dawa za kulevya.

Mwimbaji kutoka Nigeria Tiwa savage amefunguka na kusema mume wake Tunji Balogun nd...

Mwimbaji kutoka Nigeria Tiwa savage amefunguka na kusema mume wake Tunji Balogun ndio msaliti mkubwa na muuza madawa ya kulevya.
Tiwa anasema Mume wake huyo ni teja wa dawa za kulevya na ananionea wivu kwa mafanikio yangu ya muziki.
“Niko nyumbani napambana na pombe, dawa za kulevya na wanawake wa mume wangu, yeye ni kuona wivu tu kwa mafanikio ya muziki wangu”.
Wiki moja iliyopita Tunji Balogun, alimtuhumu Tiwa Savage kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Don jazzy, Dr Sid na 2face Idibia.

Related

BURUDANI 6342856274970018167

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item