Waandamanaji wampinga Trump New Mexico
Waandamanaji wanaompinga mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump wamekabiliana na polisi katika jimbo la New...
https://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/waandamanaji-wampinga-trump-new-mexico.html
Waandamanaji wanaompinga mgombea
urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump wamekabiliana
na polisi katika jimbo la New Mexico.
Walikuwa wakiandamana
katika eneo ambapo Bw Trump alikuwa akifanya mkutano wake wa kampeni,
nje ya ndani ukumbi mkuu wa mikutano wa Albuquerque.Wamerusha fulana zilizokuwa zikiwaka moto zilizokuwa zimeandikwa kauli mbiu za kampeni ya Trump amoja na mawe an chupa za plastiki.
Polisi wa kukabiliana na fujo wametumia mabomu ya kutoa machozi na maji ya kuwasha kuwatawanya.



