Yanga na Tp Mazembe kundi moja

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho klabu ya soka ya Yanga imepangwa kundi moja na timu ya Tp Mazembe. Ha...

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho klabu ya soka ya Yanga imepangwa kundi moja na timu ya Tp Mazembe.

Hatua hii ya nane bora imegawanywa katika makundi mawili yenye timu nne kila kundi ambapo kundi A kuna timu za Yanga ya Tanzania ,Tp Mazembe ya Jamuhuri ya kidemocrasia ya Congo,Mo Bejaia ya Algeria na Medeama ya Ghana.

Huku Kundi B likiwa na timu mbili za kutoka nchini Morocco ambazo ni Kawkab na Fus Rabat na pia kuna Etoile du Sahel ya Tunisia na Ahly Tripoli kutoka nchini Libya.

Mechi za Kwanza za makundi kwa zitachezwa kati ya Juni 17 na 19, na za Pili ni kati ya Juni 28 na 29,mechi za Makundi zitamalizika tarehe 23 na 24 Agosti na washindi wawili wa kila kundi kutinga nusu fainali.

Related

MICHEZO 647432429462576259

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item