Video: Rihanna amwaga machozi kwenye show ya Dublin

Msanii wa muziki wa Marekani, Rihanna alimwaga machozi wakati akiimba wimbo wa ‘Love The Way You Lie’ kwenye tamasha la Dublin nchini Irel...

Msanii wa muziki wa Marekani, Rihanna alimwaga machozi wakati akiimba wimbo wa ‘Love The Way You Lie’ kwenye tamasha la Dublin nchini Ireland, Jumanne hii.
Mziwanda-new-4
Wimbo huo ulionekana kumgusa zaidi Rihanna hasa pale mashabiki waliohudhuria kwenye tamasha hilo walipokuwa wakimfuatisha Rihanna kwa kuimba naye pamoja.
Hivi karibuni Rihanna ameonekana kuwa mpweke kwenye mahusiano kutokana na muda mwingi kuonekana kuwa peke yake huku watu anaohusishwa kuwa na mahusiano nao ya kimapenzi wakionekana kula bata na warembo wengine.

Related

VIDEO 3322744279494827453

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item