Arsenal kuchuana na West Bromwich
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger atakifanyia mabadiliko kikosi chake kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya kilabu ya Crystal Palace wikendi i...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/04/arsenal-kuchuana-na-west-bromwich.html
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger
atakifanyia mabadiliko kikosi chake kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya kilabu
ya Crystal Palace wikendi iliopita.
Per Mertesacker,Aaron Ramsey ,Theo Walcot na Olivier Giroud huenda wakaanzishwa lakini Jack Wilshere hayuko tayari kucheza.Upande wa timu ya West Brom, hakuna majeraha yotote yalioripotiwa tangu washindwe na Watford.
Saido Berahino anatarajiwa kuanza katika safu ya mashambulizi licha ya kukosa mikwaju miwili ya penalti dhidi ya Hornets,Alex Pritchard huenda asicheze,huku James Morrison akiwa hatocheza.