Yanga hoi,Mazembe nao watupwa nje
Wakicheza Ugenini huko Nchini Misri, Yanga wamefungwa 2-1 na Al Ahly na kuondolewa katika michuano ya klabu bingwa Africa. Mabingwa wat...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/04/msimamo-wa-ligi-epl.html
Wakicheza Ugenini huko Nchini Misri, Yanga wamefungwa 2-1 na Al Ahly na kuondolewa katika michuano ya klabu bingwa Africa.
Mabingwa
watetezi Tp Mazembe wakaondolewa katika michuano hiyo baada ya sare ya
1-1 dhidi Wydad de Casablanca, na Casablanca wakisonga mbele kwa ushindi
3-1.Enyimba wakasonga mbele kwa ushindi wa penati 4-3 dhidi ya Etoile du Sahel ,As Vita Club nao wakasonga mbele licha ya kufungwa kwa mabao 2-1 na Mamelod Sundowns .
Al Ahli Tripoli wakawachapa Asec Mimosas kwa mabao 2-1 lakini asec akisonga mbele kwa kwa jumla ya mabao 3-2.