Chemsha Bongo: Wamfahamu vyema Malkia Elizabeth?
Malkia Elizabeth II leo anatimiza miaka 90 tangu kuzaliwa. Alizaliwa tarehe 21 Aprili, 1926 na ndiye kiongozi wa kifalme aliyeongoza muda...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/04/chemsha-bongo-wamfahamu-vyema-malkia.html
Malkia Elizabeth II leo anatimiza miaka 90 tangu kuzaliwa. Alizaliwa
tarehe 21 Aprili, 1926 na ndiye kiongozi wa kifalme aliyeongoza muda
mrefu zaidi Uingereza. Wamfahamu vyema?
Malkia Elizabeth amevalia kofia nyingi wakati wa utawala wake, zaidi ya kofia 5,000. Kofia hizi huwa na rangi maridadi na wakati mwingine zimepambwa kwa maua. Lakini Malkia hukataa kuvalia kofia wakati gani?