Maandamano yachelewesha hotuba ya Trump

Donald Trump Maafisa wa polisi wa kutuliza ghasia nchini Marekani, wamewaondoa maelfu ya waandamanaji walioshiriki...


Donald Trump
Maafisa wa polisi wa kutuliza ghasia nchini Marekani, wamewaondoa maelfu ya waandamanaji walioshiriki katika maandamano makubwa nje ya eneo la mkutano wa chama cha Republican, ambapo mgombea wa tiketi ya urais wa chama hicho Donald Trump alikuwa akihutubia.
Mgombea huyo aliingia katika eneo la mkutano chini ya ulinzi wa maafisa wanaomlinda rais wa Marekani maarufu kama Secret service, kupitia mlango wa nyuma.



Bwana Trump amewaambia wajumbe wa chama hicho kuwa wanafaa kumuunga mkono kwani kinyanganyiro cha wagombea wa Republican kimefikia kikomo.
Waandamanaji wamekuwa wakisambaratisha mikutano ya Donald Trump katika maeneo tofauti nchini Marekani, kutokana na msimamo wake dhidi ya waislamu na wahamiaji.

Related

MATUKIO 115640010053787247

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item