Waandamana dhidi ya chama chenye sera zinazopinga Uislamu
waandamaji Polisi nchini Ujerumani wamewazuilia mamia ya w...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/04/waandamana-dhidi-ya-chama-chenye-sera.html
Polisi nchini Ujerumani wamewazuilia mamia ya waandamanaji wanaopinga chama cha mrengo wa kulia cha AFD.
Zaidi ya maafisa 1000 wametumwa katika eneo la mkutano wa chama hicho katika mji wa Stuttgart kutoa ulinzi.
Chama hicho kinatarajiwa kuzinduliwa upya, na kutangaza wazi kuwa kinapinga dini ya kiislamu.
