Picha,Sasa Rick Ross naye ana Emoji zake,utafurahi ukiziona

Rick Ross amekuwa miongoni mwa wasanii waliotoa Emoji za mitandaoni hivi karibuni. ...

Rick Ross amekuwa miongoni mwa wasanii waliotoa Emoji za mitandaoni hivi karibuni.
Emoji za Rozay zinapatikana kwa dola $0.99 kupitia kampuni ya Moji Keyboard, ambayo pia inasimamia Emoji za Fetty Wap, The Game na Future.
Emoji za Rick Ross ziko 83 zikiwa ni picha za Rozay akiweka sura tofauti na pozi zingine.

Related

BURUDANI 7035243765740548634

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item