Wanaharakati Washia wavamia bunge Iraq
Bunge la Iraq Wanaharakati wa Kishia wamevamia bunge wakipinga utata unaozunguka mkwamo wa kuidhinisha baraza jipya la ...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/04/wanaharakati-washia-wavamia-bunge-iraq.html
![]() |
Bunge la Iraq |
Wanaharakati wa Kishia wamevamia bunge wakipinga utata unaozunguka mkwamo wa kuidhinisha baraza jipya la mawaziri.
Bwana Sadr anamtaka waziri mkuu Haider al-Abadi kushinikiza kubadilishwa kwa mawaziri na wataalam wasiopendelea upande wowote
.
Vyama vikuu katika bunge hilo vimekataa kuidhinisha mabadiliko hayo kwa wiki kadhaa.
Waandamanji hao waliwazuia wabunge waliojaribu kutoroka,''wakiimba waoga wanatoroka''.