Serikali kumaliza tatizo la maji mjini Dar
Serikali ya Tanzania imewahakikishia wakaazi wa jiji la Dar es Salaam kwamba inatatua tatizo la uhaba wa maji mjini humo na hivi karibu...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/04/serikali-kumaliza-tatizo-la-maji-mjini.html
Serikali ya Tanzania imewahakikishia
wakaazi wa jiji la Dar es Salaam kwamba inatatua tatizo la uhaba wa
maji mjini humo na hivi karibuni tatizo hilo litakuwa historia.
Kulingana na Bw Kamwele,mradi huo ambao una thamani ya dola milioni 32.9 na na unaotarajiwa kukamilika mwezi Aprili mwaka 2017 unashirikisha kubadilisha mabomba ya zamani,na kuweka mapya na kuweka mabomba mapya maeneo ambayo hayajaangaziwa.
Baadhi ya maeneo ambayo yatafaidika na mradi huo ni mji wa bagamoyo,Mpiji,Bunju,Mabwepande,Boko,Bweni,Tegeta,Ununio,Wazo,Salasala, Kizundi,matosa,Mbezi juu,Goba,Changabyikeni,makongo,Kiluvya,Kibamba,Mbezi,Msakuzi,Mkabe,Maramba Mawili na Msigali.