Shule inayodidimia baharini Ghana

Shule inayodidimia baharini nchini Ghana Nyumba nyingi katika pwani ya jimbo la Volta huko Ghana zimeharibiwa na mawimbi katika kipind...

Shule inayodidimia baharini nchini Ghana
Nyumba nyingi katika pwani ya jimbo la Volta huko Ghana zimeharibiwa na mawimbi katika kipindi cha wiki moja iliopita.
Shule hii ilikuwa mbali na ufukwe wa bahari miaka michache iliopita lakini sasa imedidimia ardhini.
Kulikuwa na wanafunzi 54 katika shule hii lakini sasa hawana madarasa.Hatma ya elimu yao haijulikani.
M'momonyoko unaosababishwa na bahari umeharibu vijiji katika ufukwe wa bahari ya Afrika Magharibi ,na kutishia jamii zote.
Watu katika jamii wamesema kuwa iwapo hakuna kitakachofanyika miji yao itaangamizwa.

Related

MAAJABU 7700156981593757240

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item