unajua hii?Wenger: Benki zilitaka nisalie kocha wa Arsenal

Mkufunzi wa timu ya Arsenal Arsene Wenger sasa anasema kuwa uwepo wake katika kilabu hiyo uliisaidia kilabu hiyo kupata mkopo wa ujenzi...

Mkufunzi wa timu ya Arsenal Arsene Wenger sasa anasema kuwa uwepo wake katika kilabu hiyo uliisaidia kilabu hiyo kupata mkopo wa ujenzi wa uwanja wa Emirates.

Mashabiki wanatarajiwa kufanya maandamano wiki hii baada ya kukasirishwa na matokeo ya kilabu hiyo msimu huu ambayo yamesababisha timu hiyo kushindwa kushinda taji la ligi.
''Wakati tulipojenga uwanja wa Emirates, benki zilitaka niweke sahihi ya mktaba wa miaka mitano'',alisema Wenger mwenye umri wa miaka 66.

''Wataka kujua ni kilabu ngapi nilikataa wito wao wakati huo''?
Ujenzi wa uwanja wa Emirates uliogharimu pauni milioni 390 ulianza mwaka 2004,mwaka ambapo Wenger alishinda taji lake la mwisho la ligi na kilabu hiyo.
''Benki zilitaka niendelee kuhudumu ili wawe na hakika ya kulipwa fedha zao'',aliongezea Wenger ambaye amekuwa akiisimamia kilabu hiyo tangu mwaka 1996.

Related

MICHEZO 1623173426194279285

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item