Baada ya ukimya wa miaka miwili,Justin Timberlake kutoa wimbo mpya ‘Can’t Stop the Feeling’.
Pop staa Justin Timberlake ametangaza kuvunja ukimya na wimbo mpya “ Can’t Stop the...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/baada-ya-ukimya-wa-miaka-miwilijustin.html

Rekodi ya “Can’t Stop the Feeling” ipo kama soundtrack kwenye filamu ya Trolls na sauti ya JT imetumika kwenye filamu hio ya 3D Inayotoka November.
Hii ni album ya kwanza toka ametoa cd ya mwisho mwaka 2013 iliyoitwa The 20/20 Experience.
Hii ni album ya kwanza toka ametoa cd ya mwisho mwaka 2013 iliyoitwa The 20/20 Experience.