Je wajua kuwa:Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kufungia video ya Snura mpaka atakapoirekebisha.
Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo leo imetangaza rasmi kumfungia msanii...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/je-wajua-kuwawizara-ya-habariutamaduni.html

Wimbo huu wa Chura umefungiwa kupata muda wa hewani kwenye redio na TV nchini. Taarifa hiyo imetolewa na wizara hiyo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye ukumbi wake wa mikutano wizarani hapo Dar es salaam.
Uamuzi wa kumfungia umekuja kutokana msanii huyo kutojisajili kwenye Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA.