Baba yake Beyonce asema hajawahi kumpiga mwanae.
Baba mzazi wa Beyonce ‘Matthew Knowles’ amekuwa kimya baada ya album ya mtoto wake ...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/baba-yake-beyonce-asema-hajawahi.html

“Naweza kusema sijawahi kumpiga mtoto wangu, siamini kwenye mambo kama hayo” Knowles aliimbia jarida la US.
Baba yake Beyonce pia amesema hajui album mpya ya LEMONADE imemuongelea nani zaidi sababu hawezi kujua mawazo ya Beyonce.