Pharrell Williams asema anaikubali kinoma ngoma ya Wizkid ‘Ojuelegba’.
Producer mkubwa Marekani ‘Pharrell Williams’ amefunguka kupitia Beats1 radio nakus...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/pharrell-williams-asema-anaikubali.html

Pharrell alikuwa akiongelea kazi za msanii Skepta aliyeshirikishwa kwenye remix ya ‘Ojuelegba’ akiwa na Drake.
Pharrel amesema anaikubali sana rekodi hio na utengenezwaji wake wa Kiafrica.