Barack Obama Awa The Coolest President Ever kwa kitendo hichi.
Rais wa Marekani Barack Obama amekuwa Barack Obama ameitwa The Coolest President Ever mitandaoni baada ya kitendo chake...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/barack-obama-awa-coolest-president-ever.html

Barack Obama amechukua mtindo wa mcheza kikapu Kobe Bryant Lakes ya Los Angeles kwa kuaga na maneno ya “Mamba out” na kuachia Mic idondoke Chini.
Obama alimaliza kwa maneno haya “Obama out” na Mic akaiachia idondoke.