kumbe:Nicki Minaj anaipenda album ya Drake ila hataki Meek Mill ajue.
Kwa mujibu wa Hollywood Life imeripotiwa kuwa rapa Nicki Minaj anaipenda album mpy...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/kumbenicki-minaj-anaipenda-album-ya.html

Drake na Meek Mill wamekuwa na beef toka July 2015, Inasemekana Nicki Minaj alisikiliza album hii yote akiwa mwenyewe bila Meek Mill kujua, kwa sasa Drake hana mahusiano mazuri na Minaj na hawaja ongea toka beef lake na Meek Mill kuanza.