Collabo ya Diamond Platnumz Ft Chris Brown inakuja,Imethibitisha na MTV Base Afrika.
Kurasa iliyothibitisha na Instagram ya kituo cha MTV Base Afrika imethibitisha k...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/collabo-ya-diamond-platnumz-ft-chris.html

Diamond ni miongoni mwa wasanii wakubwa Afrika aliyewahi kushinda tuzo za #MTVMAMA2015 #BESTLIVEACT #AFRIMMA2015 #AfricanArtistOfTheYear #AFRIMA2015 #AfricanArtistOfTheYear #MTVEMA2015 #BestAfricanAct na #BestWorldWideAct, Pia tuzo kama #MTVEMA.
Ukiacha Chris Brown, Diamond Platnumz ameshafanya collabo na Msanii kutoka Marekani Neyo.