Mwanamume 'adandia' helikopta Bungoma Kenya
Ndege hiyo ilipaa na kuondoka naye Mwanamume mmoja katika mji wa Bungoma, Magharibi mwa Kenya ameshangaza wengi baad...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/mwanamume-adandia-helikopta-bungoma.html
![]() |
Ndege hiyo ilipaa na kuondoka naye |
Mwanamume mmoja katika mji wa
Bungoma, Magharibi mwa Kenya ameshangaza wengi baada ya kudandia
helikopta ambayo imepaa na kuondoka naye.
Video zinazosambaa mtandaoni zinaonesha helikopta hiyo ikipaa juu angani kutoka uwanja wa Posta, mwanamume huyo akiwa amejishikilia kwenye vyuma vya helikopta hiyo.
Taarifa zinasema baadaye ndege imetua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Bungoma na mwanamume huyo akapelekwa hospitalini