Kumbe Ryan Giggs ni player,mke wake achoshwa na hii tabia na kuchukua hatua kali.

Aliyekuwa winga wa klabu ya Manchester united ‘Ryan Giggs’ ametengana na mke wake ...

Aliyekuwa winga wa klabu ya Manchester united ‘Ryan Giggs’ ametengana na mke wake Stacey baada ya tuhuma kuwa Giggs ameanza tena tabia yake ya kumsaliti na wanawake tofauti.
Tuhuma hizi zimeibuka tena baada ya ukaribu wa kimapenzi wa Giggs na mfanya kazi wake wa kike kwenye mgahawa wake uliopo mjini Manchester.
Giggs na mke wake walifunga ndoa September 2007,katikati hapa Gigs alihusishwa kumsaliti mke wake na wanawake kama model Imogen Thomas na mke wa mdogo wake Natasha Lever ila alitumia nguvu na pesa kuzuia stori hizi kusamba kitu ambacho kilishindikana kwa asilimia 100.
Taarifa mpya zinasema mke wa Giggs anataka talaka yake sasa.

Related

BURUDA 8435068864969848809

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item