Picha,Diamond Platnumz alivyozima tetesi za kumsaliti na kuachana na Zari.
Bongo fleva super staa Diamond Platnumz amezima zile stori kuwa ametoka kimapenzi n...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/pichadiamond-platnumz-alivyozima-tetesi.html

Kupitia instagram yake Diamond amesema waliotengeneza taarifa hizo wamechelewa sana. Hii ndio post ya maneno na picha aliyotumia. “diamondplatnumzRoho ya SIMBA!!!…. wanajaribu ila hawatokaa Waweze… Nakupenda Mpaka Naugua! @Zarithebosslady






