Mugabe asema kuwa haondoki madarakani
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amesema kuwa yeye sio Mmarekani wala Muingereza wakati akiwahutubia karibu watu 50,000, wafuasi wake kwe...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/mugabe-asema-kuwa-haondoki-madarakani.html
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe
amesema kuwa yeye sio Mmarekani wala Muingereza wakati akiwahutubia
karibu watu 50,000, wafuasi wake kwenye mkutano uliofanyika kwenye mji
mkuu Harare kwa heshima yake.
Mugabe mwenye umri wa miaka 92
amekana uwezekano wowote wa kuondoka madaraklani na kuwashambulia
viongozi hasimu ndani ya chama tawala cha ZANU-PAFU kwa kupanga
kumrithi.Amesema kuwa yeye anawahudumia watu wa Zimbabwe na kuwa ataondoka tu ikiwa watu wangetaka afanye hivyo. Hata hivyo amesema kuwa haondoki na haendi popote