Orlando Boom kwenye boti la kifahari na Katy Perry.

Movie staa Orlando Boom amethibitisha kuwa mapenzi yake na mwimbaji Katy Perry baada ya wawili hawa kuonekana pamoja huko South of Franc...

Movie staa Orlando Boom amethibitisha kuwa mapenzi yake na mwimbaji Katy Perry baada ya wawili hawa kuonekana pamoja huko South of France kwenye boti la tajiri kutoka Urusi Roman Abramovich.
Hivi karibuni palikuwa na tetesi kuwa wawili hawa wameachana na kwamba Orland anatoka na Selena Gomez.
Boti linamilikiwa na Russian businessman Roman Abramovich.
orlando-bloom-katy-perry 2orlando-bloom-katy-perry



Related

BURUDANI 1367708942288857431

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item