Show za Beyonce zinawaleta wasanii karibu na JayZ,huyu kaomba collabo na kapata.

DJ Khaled ametumia usajili wake kwenye show za Beyonce vizuri sana baada ya kuleta wasanii wote wakali karibu na Beyonce na kukutana na ...

DJ Khaled ametumia usajili wake kwenye show za Beyonce vizuri sana baada ya kuleta wasanii wote wakali karibu na Beyonce na kukutana na Jay Z ambapo wengi wao wamepiga picha kwa mara ya kwanza na staa huyu huku wengine wakiomba collabo na kufanikiwa.
Rapa Future mefanikiwa kupata collabo na Jay Z na inasemekana amesharekodi wimbo huo na sauti ya Jay Z kaipata pia.
Amejitamba hivi twitter
future-jay-z

Related

BURUDANI 8428636817471661188

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item