Saa ya Haile Selassie yarejeshewa ‘mmiliki

Maafisa wa mahakama nchini Uswizi wameamua kukabidhi saa iliyotumiwa na Mfalme Haile Selassie kwa mtu aliyepatikana na saa hiyo, shirik...

Maafisa wa mahakama nchini Uswizi wameamua kukabidhi saa iliyotumiwa na Mfalme Haile Selassie kwa mtu aliyepatikana na saa hiyo, shirika la habari la Bloomberg limeripoti.
Familia ya Selassie ilisema saa hiyo iliibiwa kutoka kwenye Kasri la Mfalme na wanajeshi waliotekeleza mapinduzi ya serikali mwaka 1974 au ikaibiwa kutoka kwenye sefu muda mfupi baada ya mapinduzi.
Waendesha mashtaka mjini Geneva wanasema hawakupata ushahidi wowote kwamba aliyekuwa na saa hiyo aliipata kupitia njia ya uhalifu.
Image copyright AP
Bloomberg wanasema saa hiyo ya muundo wa Patek Phillipe iliyopambwa kwa dhahabu inaweza kuuzwa £1m (£690,000) kwenye mnada.
Kampuni ya kupiga mnada ya Christie imekataa kufichua jina la mtu anayemiliki saa hiyo na ambaye anapanga kuiuza mnadani.

Related

MAAJABU 5614827155287291508

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item