Wenyeji wa Fallujah washauriwa kuondoka
Mji wa Fallujah uko mikononi mwa Islamic State. Wenyeji wa mji wa Falluja nchini Iraq ambao unadhibitiwa na Islamic State wameshauriwa...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/wenyeji-wa-fallujah-washauriwa-kuondoka.html
![]() |
Mji wa Fallujah uko mikononi mwa Islamic State. |
Wenyeji wa mji wa Falluja nchini
Iraq ambao unadhibitiwa na Islamic State wameshauriwa na jeshi la Iraq
kuwa tayari kuondoka mjini humo.
Ushauri huo ulitolewa kabla ya mashambulizi yanayotarajiwa kuendesha na jeshi ili kuukomboa mji huoMtandao mmoa wa wakurdi unasema kwa karibu wajajeshi 20,000 wamewasilia katika maneo yanayounzuaguka mji wa Fallujah.
Kundi moja la kutetea haki za binadamu lenye makao yake nchini Marekani linasema kuwa watu waliokwama mjini humo wanakumbwa na njaa.