Chris Brown chini ya ulinzi tena,ni baada ya kukutwa barabarani na pikipiki isiyokuwa na Plate number
Chris Brown amekamatwa akiwa anaendesha pikipiki isiyokuwa na Plate number huko Am...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/06/chris-brown-chini-ya-ulinzi-tenani.html

Tmz imeripoti kuwa Chris Brown alikuwa kwenye hali mbaya wakati anakamatwa sababu alikuwa ametoka kuvuta Marijuana na alikuwa amelewa.
Imegundulika kuwa askari waliomkamata hawakujua ni mtu maarufu sana na walikubali kupotezea kosa hilo mpaka baadae walipojikuta wamezungukwa na wapiga picha.
Chris Brown alipewa ticket ya kosa hilo na kupelekwa kwenye kituo cha polisi kulipa faini.


