Iggy Azalea apinga taarifa za kurudiana na Nick Young

Baada ya kuvunjika kwa mahusiano yao hivi karibuni, rapper Iggy Azalea amefafanua tetesi za kurudiana na mchumba wake mchezaji ...



Baada ya kuvunjika kwa mahusiano yao hivi karibuni, rapper Iggy Azalea amefafanua tetesi za kurudiana na mchumba wake mchezaji wa kikapu, Nick Young baada ya kuonekana akiingia kwenye nyumba waliokuwa wanaishi huko Los Angeles.
iggy-azalea-nick-young
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Iggy ameandika, “I never had anyone’s car towed nor did I kick nick out of “my” house. The home belongs to nick, Iam the one moving. Thanks.”
Uhusiano wa Iggy na Nick uliingia dosari baada ya kuvuja kwa mazungumzo ya siri March 24 yaliyomhusisha Nick na mchezaji mwenzake D’Angelo Russell kuhusu kutongaza wanawake wengine.

Related

BURUDANI 3487364095183977137

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item