Picha: Maisha ya Beyonce na Jay Z baada ya ‘Lemonade’

Mwezi April, mwaka huu Beyonce alitengeneza vichwa vya habari duniani baada ya kuachia kwa kushtukiza tena album mpya ‘Lemonade’, aliyoelez...

Mwezi April, mwaka huu Beyonce alitengeneza vichwa vya habari duniani baada ya kuachia kwa kushtukiza tena album mpya ‘Lemonade’, aliyoelezea kwa mara ya kwanza skendo ya muda mrefu kuhusu matatizo ya ndoa yake na Jay Z.
02a41cbd1ae9e24aa9bc7871c95742d2
Kwenye wimbo wake ‘Sorry’ alizungumzia jinsi ambavyo mume wake [Jay Z] alivyowahi kumsaliti kwa kutembea na wanawake wengine. Mstari ‘You better call Becky with the good hair’ uliopo kwenye wimbo huo uliwaweka kwenye wakati mgumu Rachel Roy na Rita Ora ambao walidaiwa kuchepuka na bosi huyo wa lebo ya Roc Nation.
Skendo hiyo ilitia shaka kuvunjika kwa ndoa yao kutokana na yale aliyoyazungumza Queen Bey ndani ya albamu hiyo. Maisha yamezidi kuendelea huku wawili hao wakionekana kwenye viwanja mbalimbali wakiendelea kula bata pamoja huku ndoa yao ikizidi kuwa na furaha na Jay Z akizidi kutoa mchango mkubwa kwenye ziara ya Beyonce, ‘Formation Tour’.
safari
Ukweli unaonesha kuwa Jay alikubali kuimbwa hivyo na mkewe kwa imani iliyotimia kuwa albamu ya Lemonade ingeingiza mkwanja mrefu na mwisho wa siku wawili hao wataendelea kufurahia mapenzi yao, na mahaba tele. Hiyo inathibitika kama alivyorap Jay Z kwenye mashairi ya remix ya Fat Joe na Remy Ma, “You know you made it when the fact your marriage made it is worth millions. Lemonade is a popular drink and it still is.”
Tazama picha za Queen Bey na Jay Z baada ya Lemonade kutoka na wakifurahia vekesheni ya nguvu
13108612_1134282759961344_2144088758_n
90c8a860751b252e58c26f97e05856c4_XL-6
SIMU

Related

BURUDANI 96295403895882446

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item