Cameron kuondoka madarakani Uingereza

Cameron kuondoka madarakani Uingereza Image copyright PA Image caption Bw Cameron na Bi Theresa May Leo ni siku ya mwisho kwa David Camer...

Cameron kuondoka madarakani Uingereza

MayImage copyrightPA
Image captionBw Cameron na Bi Theresa May
Leo ni siku ya mwisho kwa David Cameron kushikilia wadhifa wa waziri mkuu wa Uingereza baada ya kuhudumu kwa miaka 6.
Cameron alitangaza uamuzi wake kujiuzulu mwezi uliopita baada ya kushindwa katika kura ya maoni kuhusu uanachama katika Muungano wa Ulaya.
Anayemrithi ni Theresa May, aliyeidhinishwa kama kiongozi mpya wa chama cha Conservative Jumatatu.

Related

HABARI 4052449913581759181

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item