Amnesty International yaishutumu Misri

Amnesty International yaishutumu Misri Image copyright REUTERS Image caption Katibu mkuu wa Amnesty International Salil Shetty Shirika la...

Amnesty International yaishutumu Misri

AmnestyImage copyrightREUTERS
Image captionKatibu mkuu wa Amnesty International Salil Shetty
Shirika la kutetea haki za binaadamu, Amnesty International, limeishutumu serikali ya Misri kwa kuwapoteza watu kwa lazima ili kutishia na kuzima upinzani nchini. Amnesty linasema mamia ya wanafunzi wanaharakaati wa kisiasa na waandamanaji baadhi wakiwa na umri wa hata miaka 14 wamepotea.

Related

HABARI 2377989364387140732

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item