JINSI YA UTENGENEZAJI WA MATOFALI YA KUCHOMWA NA MATOFALI YA ZEGE.

 Jinsi ya .Hutengenezaji wa matofali ya juchomwa na matofali ya mchanga.Matufali ya kuchomwa utengenezwa kwa kutumia udongo pamoja na maji ...

 Jinsi ya .Hutengenezaji wa matofali ya juchomwa na matofali ya mchanga.Matufali ya kuchomwa utengenezwa kwa kutumia udongo pamoja na maji kisha kuchomwa,pia matofali ya zege utengenezwa kwa kutumia mchanga,cement,kokoto pamoja na maji.





Huyu ni kijana anayejiusisha na kazi ya kufetua matofali,kazi hii umuwezesha kuyakidhi maitaji yake.

Mmiliki wa sehemu hii ya kufetulia matofali akiwa anawapa maelekezo.

Mmoja wa wafanyakazi akichanganya mchanga wa kutengeneza matofali.


Wananchi wakiwa wanapata ufafanuzi juu ya utengenezaji wa matofali ya kuchoma.
Mtaalamu akionyesha kwa mfano jinsi ya kufetua tofali.
Vijana wakiwa wanapa nga matofali .
Tanuru la matofli ya kuchomwa likiwa tayari.

Mtofali ya zege yaliyo tengenezwa kwa mchanga pamoja na cement yakiwa yamepangwa tayari kwa kuuzwa





HIzi ni baadhi ya cement wanazo tumia katika kufetua matofali.






Related

MATUKIO 2026077923313825868

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item