Baada ya Thierry Henry kuambiwa achague moja na Arsene Wenger, hili ndio jibu lake….

Thierry Henry  ameacha kazi kama kocha wa timu ya vijana ya Arsenal baada ya Arsene Wenger  kumwambia achague moja, kubaki kuwa kocha na...

Thierry Henry ameacha kazi kama kocha wa timu ya vijana ya Arsenal baada yaArsene Wenger kumwambia achague moja, kubaki kuwa kocha na kuweka muda wake wote kwenye kazi hio au kuendelea kuwa mchambuzi wa mambo ya soka kwenye vituo vya tv kama Sky na BBC.
Wenger amempa nafasi Henry ya kuchagua kazi gani anataka kufanya na iwe moja tu na ndipo Henry alipomuambia kwaheri baba.
Wenger mwenye umri wa miaka 66 anasema Henry hawezi kuwa kocha wa Arsenalkwenye siku za wiki alafu wikiend anawaponda wachezaji wetu.
Henry aliyekuwa mshambuliaji mkubwa wa Arsenal ataendela na kazi za uchambuzi kwenye vituo vya tv kama BBC alivyofanya kwenye michuano ya Euro 2016 na Sky Sports ambapo analipwa Pound milioni 4 kwa mwaka

Related

MICHEZO 2164381136594987383

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item