Obama awaomba Wamarekani wasife moyo

Obama awaomba Wamarekani wasife moyo Image copyright EPA Image caption Obama amkumbatia mkuu wa polisi wa Dallas Rais Barack Obama amewao...

Obama awaomba Wamarekani wasife moyo

DallasImage copyrightEPA
Image captionObama amkumbatia mkuu wa polisi wa Dallas
Rais Barack Obama amewaomba raia Marekani wasivunjike moyo kuhusu wasiwasi wa ubaguzi wa rangi akieleza kuwa tiafa hilo halijagawanyika kama inavyodhaniwa.
Alikuwa akizungumza katika misa ya wafu ya maafisa wataano waliopigwa risasi na kuuawa na mwanajeshi wa zamani aliyetaka kulipiza kisasi kwa mauaji ya wanaume weusi na polisi.
Bw Obama amesema polisi hawapaswi kuonekana kama walio na ubaguzi.

Related

HABARI 5223788335160143085

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item