Newcastle yanusurika,Sunderland yapata sare

Wachezaji wa Newcastle Klabu ya Newcastle imaimarisha matumaini yake ya kusalia katika ligi kuu ya Uingereza kufuatia bao la Andros T...

Wachezaji wa Newcastle
Klabu ya Newcastle imaimarisha matumaini yake ya kusalia katika ligi kuu ya Uingereza kufuatia bao la Andros Townsend na penalti iliopanguliwa na kipa wa kilabu hiyo dhidi ya Crystal palace.
Huku Norwich ikicheza dhidi ya Arsenal na Sunderland kutoka sare na Stoke,Newcastle sasa imepanda hadi nafasi ya 17 na kuondoka katika eneo la kushushwa daraja.

Towsend aliipatia Newcastle bao la kwanza baada ya mapumziko kupitia shambulio kali.
Kipa Darlow baadaye aliokoa Newcastle alipookoa penalti ya Yohan Cabaye

Related

MICHEZO 9093014674328267717

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item