Uwindaji haramu: Kenya yachoma pembe za ndovu

Pembe za ndovu zilizochomwa katika vita dhidi ya uwindaji haramu wa pembe za ndovu Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezichoma pembe za...


Pembe za ndovu zilizochomwa katika vita dhidi ya uwindaji haramu wa pembe za ndovu
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezichoma pembe za ndovu katika juhudi za kuonyesha taifa lake kuhusu umuhimu wa kuwahifadhi ndovu.
Zaidi ya tani 100 za pembe za ndovu zilikusanywa katika mbuga ya wanyama ya Nairobi ambapo zinatarajiwa kuchomeka kwa siku kadhaa.
Pembe hizo zinawakilisha karibia pembe zote zilizopatikana na serikali zikidaiwa kutoka kwa takriban ndovu 6,700.
Hatahivyo wengine wametofautiana na hatua hiyo ya Kenya wakisema inaweza kuongeza visa zaidi vya uwindaji haramu.

Pembe za Ndovu nchini Kenya
Kabla ya kuwasha moto huo,Bw Kenyatta alisema: Wingi wa Pembe hizi ndio unaotupatia shinikizo zaidi kukabiliana na visa vya uwindaji haramu.
''Hakuna na narudia hakuna mtu aliye na sababu ya kushiriki katika biashara ya pembe za ndovu''.

Related

HABARI 3006313287640837278

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item