J e unayajua Majina matatu ya wasanii wa kimataifa yako kwenye album ya Navy Kenzo.

Kundi linaloundwa na Aika na Nahreel ‘Navy Kenzo’ limeweka wazi kuwa album yao mpy...

Kundi linaloundwa na Aika na Nahreel ‘Navy Kenzo’ limeweka wazi kuwa album yao mpya ya Above in A Minute ina collabo kali za kimataifa.
Navy Kenzo wanasema “Tuna collabo na Alikiba, tuna collabo na Patoranking, tuna collabo na R2Bees kutokana Ghana, tuna collabo na Jesse Jagz kutoka Nigeria,”
Hongera kwa Navy Kenzo ambao kwa sasa wanajipanga kuanza ziara ya muziki Nigeria  na Uingereza.

Related

BURUDANI 2013064274886250345

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item