Kitendo hichi kinachofanywa na mashabiki kimemfanya Justin Bieber kujiona mnyama.
Pop Staa Justin Bieber amelalamika kuhusu tabia ya mashabiki wakumuona tu kutaka ...
https://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/kitendo-hichi-kinachofanywa-na.html
Kupitia insta yake Justin Bieber anasema hataki tena kupiga picha na watu sababu imejenga mazoea mabaya. Nimewatengenezea album na umenunua album, haisemi popote ukinunua album yangu unapata nafasi pia ya kupiga picha na mimi, alisema Justin B.


